Naomba mnisaidie kumuelewesha Kawambwa,Tatizo sio wanafunzi wa vyuo vikuu,tatizo ni bodi.Hivi na haki kweli Wanafunzi wamemaliza mwezi sasa vyuoni hawajapewa pesa zao?,na amesema wakigoma anafutia Mkopo.Hivi amewahi jiuliza kuwa wanaishije vyuoni?,au anafikiri ni watoto wa mafisadi kama yeye?,huyu mi nadhani aitwe kaumbwa sio kawambwa,maana anatabia za mbwa mbwa,mbwa ndo huwa wanabweka bweka ovyo ovyo hata wakimuona land lord wao.
Naomba nikujuze kidogo mkuu, kuwa tataizo sio Kawambwa wala Bodi kwa continuing students bali ni hivyo vyuo vyetu yva kata ambavyo tunasoma tunavisoma. Kwanza kabisa bodi imepeleka hela kwa wakuu wa vyuo upande wa taaluma kwa kila chuo hapa Nchini sema wamepewa mashariti ya kutowawekea wadau hizo hela hadi watakaporipoti vyuoni il,i kuepukana na usumbufu wa kugawa fedha kwa wasiohusika ila shida ni kwamba wakuu wetu wa vyuo na Loan officer hela wameziweka kwenye fixed account ili wajipatie faida, ndio maana vyuo kama UDSM na DUCE wamepewa hela kwani kwao hakuna walafi wengi na Wanafunzi wa UDSM na Campus zake wanajua kuwania haki zao za msingi, ISIPOKUWA TU CAMPUS YA SUA.
We mwana JF,sijakurupuka kuandika hili,i think unasoma udsm au duce,Hakuna chuo kinachoshikilia pesa za wanafunzi na waweke kwenye fixed account,Hayo ni mawazo yako.Mi mwenyewe niliwahi kuwaza hivyo but nikafanya uchunguzi,nikagundua si kweli,Heslb ndo wasanii mwanzo mwisho.Kuwa makini na hoja zako.
huyu mi nadhani aitwe kaumbwa sio kawambwa,maana anatabia za mbwa mbwa,mbwa