Kawavua nguo, mko watupu, tafuteni walau khanga mjisitiri

jindundu

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2025
Posts
679
Reaction score
581
Ukiona mtu yuko uchi wa mnyama na anatembea barabarani bila kujali, anaongea, anacheza bila wasi wasi wowote basi fahamu fika wazi kuwa mtu huyo ni mgonjwa. Hajitambui kuwa yu uchi, anahitaji msaada maana si busara kumwacha binadamu mwenzako apuyange mtaani akiwa mtupu.

Maguo yenu yana viraka, matobo na yamechakaa, mwerevu kawavuaaa, mko watupu. Msitembee barabarani mkiwa hivyo, tafuteni walau khanga mjisitiri ni aibu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…