Elections 2010 Kawe Kunani.....Malumbano yaendelea

joykita

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
12
Reaction score
1
Kawe hadi sasa kuna mvutano wa kutangaza matokeo........update zaidi please
 
Nafikiri CCM wanataka kuchakachua matokeo!!!
 
Wakichkachua imekula kwao.. Pumbavu zao ccm wanadhani wameubwa kutawala... Revolution real
 
Hivi kwanini tunafanya uchaguzi kama CCM wanataka kutuchagulia viongozi???aaahggrrrr
 
Hivi kama CHADEMA wameshinda na wananchi ndio wameamua. What the point kuendelea kuwayeyusha waTZ au wanataka watu wachukue sheria mkononi.. chonde chonde give us our victory .............PEOPLES POWER
 
Pambaf zao wachakachue waone watapigwa na Mungu
 
Hivi kama CHADEMA wameshinda na wananchi ndio wameamua. What the point kuendelea kuwayeyusha waTZ au wanataka watu wachukue sheria mkononi.. chonde chonde give us our victory .............PEOPLES POWER

Siku zote huwa CCM wanawaza kuiba kura ndio tatizo lao this time hata wachakachue vipi imekula kwao
 
They can go to hell CCM, they got to let it go...............
Tena wajipange 2015 hata rais hawatapata
 
Wana Kawe hakuna kulala mpaka kieleweke. Kwa nini wanahaha wakati walishasema Chadema wajiandae kupokea matokeo ya Tsunami?
 
Kwanini uchakachuaji uwepo wakati wananchi wamechagua mtu wanaempenda!! Wananchi msikubali mpaka kieleweke...........CHADEMA JUUUU!!:A S-baby:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…