Kijana John Mnyika wa Chadema ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa kiti cha ubunge Jimbo la Ubungo. Sasa tunahamia kawe kudai matokeo. Tukitoka kawe tunaenda Segerea, then ukonga and so forth. Wao si walisema ni shuka kwa shuka, basi sisi ni kituo kwa kituo na jimbo kwa jimbo mpaka kieleweke. Hakuna kulala!