Elections 2010 Kawe wamegeuza matokeo

Elections 2010 Kawe wamegeuza matokeo

Erickb52

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
18,534
Reaction score
11,449
Jamani Kawe Halima alishinda na akasign ila kwa sasa tume inatoa matokeo kuwa CCM ameshinda.
Hii ndo nini jamani?
 
kasaini wapi??? hebu jifunze kuja na evidence hapa, sio kusemasematu
 
Hamna jimbo la Dar ambalo limeshatangazwa na Tume isha aihirisha kutangaza. Acheni udakuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!
 
Jamani Kawe Halima alishinda na akasign ila kwa sasa tume inatoa matokeo kuwa CCM ameshinda.
Hii ndo nini jamani?

Sijui kama unasema kweli.

But, huku ni Pwani mjomba. Akili za watu wa huku zimejaa chumvi.
 
Jamani source ni walioko hapo kwenye sekeseke
 
Rafiki yangu usituchanganye katika kipindi hiki muhimu!
 
Hayo matokeo ya kawe yametangazwa saa ngapi na kituo gani cha habari kimerusha!
 
I think CCM wameona waachie kwa Masha kule na A-town watulize watu kidogo alafu wachakachue Kawe possibly na Ubungo. Majimbo mawili dar yakienda upinzani it will be perfecto..
 
Jamani Kawe Halima alishinda na akasign ila kwa sasa tume inatoa matokeo kuwa CCM ameshinda.
Hii ndo nini jamani?

You joined JF yesterday. No body is gonna trust you

go **rew yourself
 
Huyu atakuwa na malaria tu sie twasubiria matokeo ya tume na vituo vya TV
 
Back
Top Bottom