Elections 2010 Kawe wanataka Kuhesabu kura Upya - Live BBC


Mkuu, hata kama Mdee ni Mwanasheria bado itakuwa ngumu sana kama matokeo yatageuzwa. kikubwa ni kukataa katakata kutohesabu upya kura kwani ujanja unaweza kuwa tayari umefanywa. Huyu binti ni muhimu sana aende bungeni kutoa changamoto kwa serkali ya JK awamu ya mwisho
 
Kawe msikubali kuhesabu kura, maana kuna form za vituoni za mawakala zitumike hizo. Hata mahakamani huo ni ushahidi tosha kura za kuchakachua nani anakubali? Mde komaa mwanangu ni hukumu ya mafisadi hiyo.
 
Jamani asikubali/wasikubali.taarifa nilionayo ni kwamba wanasema kwa kuwa wanakaribiana ni rahisi kuchakachua kawe ila kwa Mniyka ni ngumu sana.,sasa hapo wakikubali tu wanaangukia pua jamani.Jamani ccm acheni watu wapate mtu wao wanaemtaka.
 
..........Nakwa nini kura zihesabiwe mara ya pili? - a simple question.
 

Kumsikiliza mgombea wa urais tiketi ya CCM juzi akisifia utaratibu uliopo kuwa hauruhusu kura kuibwa, nili admire alivyoelezea kwa umahiri mkubwa utaratibu huo hata maeneo ambayo yanaweza kuwa na mwanya/changamoto!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!TAFAKARI HILO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…