Ndugu wanajukwaa nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Taifa la Tanzania kwa sasa tunahitaji katiba mpya. Uhitaji huu ni wa lazima kwasababu wote tumeshuhudia jinsi ambavyo mihili miwili haiko huru. Haiwezekani spika unazungumza kama muhimili halafu muhimili mwingine unakulazima kuachia ngazi kwa kizingizio cha kumpinga.
Iko wapi check and balance kama hali ni hii? Tunaelekea wapi kama taifa? kama alivyozungumza Tundu Lisu ni kweli kwa sasa tuna muhimili mmoja ambao ni serikali. Mengine nina wasiwasi sana.
MUNGU TUSAIDIE.
HATA HIVYO WASIPOBADILIKA NA KUONGOZA KWA MATAKWA YA WANANCHI WATAKUTANA NA NGUVU YA KARMA.