Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram KAYMZIWANDA ameutumia kuwashukuru Viongozi, Wachezaji, Mashabiki na Bosi wake Mr Makau kwa kumuamini kwa kipindi chote walichokuwa naye.
Ni live bila chenga kuwa Shabiki huyu lialia wa Simba karudi kwenye jiji lake alilolizoea tofauti na Majiji mengine.
Lakini swali letu kwa mwana JF, Kabwaga au Kabwagwa?
Ni live bila chenga kuwa Shabiki huyu lialia wa Simba karudi kwenye jiji lake alilolizoea tofauti na Majiji mengine.
Lakini swali letu kwa mwana JF, Kabwaga au Kabwagwa?