Kayoko mbona unazidi kupoteza ubora wako?

karue

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
203
Reaction score
435
Hivi kweli zile kadi nyekundu kwa Erasto na Ulimwengu zilistahili kutolewa kweli?

Au Mimi ndiyo mshamba wa Sheria 17?
 
Hivi kweli zile kadi nyekundu kwa Erasto na Ulimwengu zilistahili kutolewa kweli?au Mimi ndiyo mshamba wa Sheria 17?
Kiukweli hatujui kilichotokea kwakua hawakurudia lile tukio lakini kwa macho yangu niliona kama vurumai ya kawaida ambayo unaweza kutoa njano au kuwaonya. Tatizo la kayoko anajifanyaga mtemi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…