"Kayumba hazifai kwa sababu zina watoto wengi" ni hoja dhaifu inayothibitisha uelewa mdogo wa Watanzania kuhusu saikolojia ya watoto

Zama zimebadilika sana, mambo yamebadilika sana. sikupingi ila mimi binafsi nikipata mtoto simpeleki kayumba. Umaskini ni laana, umaskini ni roho, watu maskini ni mzigo kwa taifa, shule nyingi za kayumba ni viwanda vya kutengeneza watu maskini..
Ur a c student. Unadhani kumlipia mtoto Ems ndio kipimo cha utajiri?

pole sana mkuu.
 
Kama huna hela utazisifia shule za kayumba.kwa mtu mwenye uwezo kama afisa elimu,katibu tawala,mkuu wa wilaya na mkoa,waziri,wakurugenzi,Rais na wafanyabiashara wenye Hela huwezi kumuona mtoto wake anahangaika na hizi takataka zinazoitwa shule za kata.watoto wao utawakuta international kama ist,ism,isi na wale wa kipato Cha kati utawakuta medium
 
Kupanga ni kuchagua; mtoto aende shule kusoma masomo ya darasani au kuchezacheza na wenzake.

Kuna mwalimu mmoja wa Kayumba aliwahi kuropoka kuwa hana muda wa kumpitia mtoto mmoja mmoja kujua shida binafsi maana nyomi hiyo ni hatari. Kwa hiyo atakachofundisha ndio hicho, wepesi wataenda naye, wazito hicho ndo kimewapita
 
Mkuu Kayumba Ni Changamoto Huko Mbeleni Mtoto Akimaliza Darasa La Saba Na Kuanza form one kwenye swala la lugha (English) inakuwa changamoto sana mtoto anafeli sio kwamba hajui hapana sababu lugha iliyotumika haijamkaa kisawasawa tofauti na waliosoma English Medium.Mfano Mwanafunzi aliyesoma Ist au Feza Utamfananisha na mbwa Mimi niliyesoma Shule ya Msingi Kindi Juu huko Kibosho Kindi
 
Mchawi ni pesa tu hapa hakina lolote ni kujifarji tu. Tafuta pesa, tafuta pesa, tafuta pesa, tafuta pesa
 
Napata kuamini hapa duniani kila Kampeni utakayoona inapigwa push kwa nguvu kubwa basi kuna mtu ananufaika sana, sqsa nado huwa najiuliza kuhusu wewe na hii kampeni yako unanufaiiaje ndugu LIKUD
 
Ur a c student. Unadhani kumlipia mtoto Ems ndio kipimo cha utajiri?

pole sana mkuu.
Pesa ninazo na simpeleki mtoto yoyote kayumba umaskini staki kwenye kingdom yangu
 
Pesa ninazo na simpeleki mtoto yoyote kayumba umaskini staki kwenye kingdom yangu
Wewe mwenyewe masikini sijui unazungumzia umaskini upi huo
 
Ndugu LIKUD uko sahihi kabisa.
Tatizo ni jamii na serikali yetu ya Tanganyika hawako makini katika uwekezaji sekta ya elimu.
Na hii ni kwasababu ya ubinafsi wa viongozi wetu.
Mwaka jana nilikuwa nasafiri sana Zanzibar aisee jamaa wako busy kuboresha shule zao kuanzia walimu, kujenga madarasa, maktaba, maabara za kompyuta, umeme na maji.
 
Umeandika kihisia zaidi. Sio lazima iwe hivyo
 
Shule inawatoto 1000 haonsio wengi?? Na ni ya private. Wancheza na miziki ya kutosha acha kulinganisha maisha hali hazifanani.

Wanaokwenda outing dar es salam zoo. Wanaokwenda serengeti kuna wanaokwenda dubai. Kuna wanaokwenda ufaransa ma Durban.

Hata siku moja huwez ukalazimisha mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…