Eti wadau wa JF watoto wanaobahatika kupitia Kayumba(shule za uma) na hawa wa St flan flan(private or english medium) je? Wanaleta Tabaka la utengano na Je Wakifika ni kweli Kayumba huishia kukimbiza? Maana statics zinaonesha Mfano UDOM, UDSM, SUA, MZUMBE, Mhimbili na UDSM, ARIS kuwa wengi wa wanafunzi ni Kayumba je? Wale wa St huendaga wapi?