Ukikaa bar unasikiliza meza ya jirani hata na kwenye daladala pia unafuatilia hayo? murefuuuuu hiyo ni tabia ya watu wasiojiamini anataka kuongea na mtu jirani na mpenzi wake ili apate uhakika fulani, ila ni utumwa tu sababu mtu akitaka kufanya uhuni hata mbele yako anafanya tu
Ntaona poa tu maana mimi nilipouliziwa hakukuwa na tatizo!Lizzy tatizo co napenda kusikiliza au kufuatilia ya wa2 bal stor zenyewe zinanifuata co ninazifuata zenyewe zinanifuata. Okay wewe hebu chukulia jamaa yako anakuwa anamuulizia dada yako au mdogo wako wa kike kila unapoongea nae je wewe utajisikiaje wewe kama wewe utajisikiaje mh! Et lizzy?
mh? Mh! Cjui
Hujui nini?Kwani kuna swali hapo?Nwy acheni kuishi kwa wasiwasi...kama huyo mwanaume humwamini ndugu yako nae humwamini?
mmmhhhh
ukweli ni kwamba I trust you
and i trust my sister too
siwezi amini waweza fanya jambo lolote
litakalovunja familia yangu ambayo labda itakuwa yako baada..
kumbuka trust is like a virginity you can only brake it once...
dah.Lizzy, hupitwi??We Murefu kila siku na hadithi za watu??Nwy sioni ubaya wowote maana hata mimi nilikua nauliziwa na shem wangu ila sio kwasababu ananitamani!Ni strategy ya kumpenda na kua karibu na kipenzi cha mwandani wako..that is kama dada anampenda mdogo wake sana!Inamtengenezea mwanaume mazingirga ambayo hata siku wakigombana anajua atamtumia nani kumbembelezea mwenzake na kumwombea msamaha!Nnachojua ni kwamba wadada hua wanapenda na kufurahia hali hiyo ila kama huyo ana wasiwasi basi hajiamini!Kazi anayo.