Neybright JF-Expert Member Joined Feb 1, 2017 Posts 5,690 Reaction score 14,477 May 8, 2021 #21 Kichwa Kichafu said: Kazi ipo kwa kweli bongo vituko havitokuja kuisha. Click to expand... Nimepoteza pesa na muda wangu jirani nimeumia sana aiseeh
Kichwa Kichafu said: Kazi ipo kwa kweli bongo vituko havitokuja kuisha. Click to expand... Nimepoteza pesa na muda wangu jirani nimeumia sana aiseeh
Gwele JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 2,604 Reaction score 3,319 May 8, 2021 #22 Kuhusu kurudi kigoma angerudii tu hata kama game ingekuwepo kwahiyo tusihoji atarudije atakuwa alishajipanga kwa hilo
Kuhusu kurudi kigoma angerudii tu hata kama game ingekuwepo kwahiyo tusihoji atarudije atakuwa alishajipanga kwa hilo
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23,620 Reaction score 52,790 May 8, 2021 #23 Akaombe hifadhi kwa bab levo maana wote bandeko nangai
IBRA wa PILI JF-Expert Member Joined Oct 12, 2017 Posts 1,503 Reaction score 2,426 May 8, 2021 #24 Kichwa Kichafu said: Kazi ipo kwa kweli bongo vituko havitokuja kuisha. Click to expand... Kama tuna kumbukumbu vizuri Basi kila msimu ligi ya bongo lazima kitokee kituko kikubwa cha kushangaza na kujadilwa mno.
Kichwa Kichafu said: Kazi ipo kwa kweli bongo vituko havitokuja kuisha. Click to expand... Kama tuna kumbukumbu vizuri Basi kila msimu ligi ya bongo lazima kitokee kituko kikubwa cha kushangaza na kujadilwa mno.