Kazi at bot

Best hata msihangaike kuandika barua, tushawazoea hawa jamaa wanaandika wakati mtu ashaanza kazi na marupurupu juu. Labda kama we ni mtoto wa fisadi ndo uandike utakubaliwa tu!
 
best hata msihangaike kuandika barua, tushawazoea hawa jamaa wanaandika wakati mtu ashaanza kazi na marupurupu juu. Labda kama we ni mtoto wa fisadi ndo uandike utakubaliwa tu!
acheni hizi mentality jamani, winners never quit
 
acheni hizi mentality jamani, winners never quit

thank you carmel,
For those who want to apply for these jobs especially those for legal officers rest assured mpaka sasa hakuna mtu aliyeajiriwa. hizi nafasi ziko wazi hapa BOT. Wenye nazo wana kesi za EPA so kuna gap.

Ila hizi ni kazi za watu honest maana wa mwanzo walipata temptation wakakiuka misingi.

I wish you all the best.
 
kazi kweli kweli, watoto wa wakulima sijui lini tutatoka jamani
 
Jamani sukumeni karatasi tuu, mengine iachieni process itaamua. Mkiwa na hizi mentality..ni kweli kwamba watoto wa mafisadi watazidi kupeta. Just send your docs. You have nothing to lose. Maana naamini kuna kipindi na wao wanafika wanaona aibu..hawawezi kuchukua watoto wa mafisadi tuu..watachanganya hata na mtoto mmoja wa mkulima. Who knows? It might be you or me!

Try your luck!
 
Jamani jaribuni kuziomba hizo nafasi mimi nimekuwa naomba kila zinapo tangazwa nafasi zinazo nihusu hasa eneo la finance japo sijawahi hata kuwa shortlisted, nadhani kinacho ni cost ni umri ni miaka 35 bot waache kubana suala la umri mimi naliona kama ni ubaguzi kila mtu ana hamu ya kuja kutoa mchango wake katika kuijenga nchi kupitia bot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…