Weka na details zote we unafikiri ni kila mmoja anaeweza kupata gazeti hilo? Wengine sie tupo huku mkoa mpya wa Katavi kwa hiyo ukiweza kila kitu huenda ikawa rahisi hata kuaply online kuliko kuleta habari nusu nusu
BOT ni pazuri sana kufanya kazi. ila tatizo watoto wa wavuja jasho hawapewi nafasi sawa katika kushindania ajira( equal chance in employment opportunities. ila tusichoke kujaribu kama unadhani una some qualifications.