T Tekenya Member Joined May 24, 2011 Posts 67 Reaction score 9 Aug 22, 2012 #1 Wadau kwa mwenye taarifa kuhusiana na nafasi za kazi zilizotangazwa na tume ya ajira za COSTECH kama washaita watu kwenye usaili, maana mim niliomba research assistant mpaka sasa naona kimya.
Wadau kwa mwenye taarifa kuhusiana na nafasi za kazi zilizotangazwa na tume ya ajira za COSTECH kama washaita watu kwenye usaili, maana mim niliomba research assistant mpaka sasa naona kimya.
Sangarara JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 13,104 Reaction score 5,659 Aug 22, 2012 #2 ndio utakuwa unafanya research kwa trial and error namna hii?
R Rweza79 JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 207 Reaction score 47 Aug 22, 2012 #3 Sijaelewa kichwa cha habari chako!!!
Penguin-1 JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 406 Reaction score 65 Aug 22, 2012 #4 Sangarara said: ndio utakuwa unafanya research kwa trial and error namna hii? Click to expand... We mjamaa umenichekesha kweli....
Sangarara said: ndio utakuwa unafanya research kwa trial and error namna hii? Click to expand... We mjamaa umenichekesha kweli....
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,922 Reaction score 1,149 Aug 22, 2012 #5 Rweza79 said: Sijaelewa kichwa cha habari chako!!! Click to expand... Yaani watu wengine bwana sijui huwa wanajielezaje ktk interview.
Rweza79 said: Sijaelewa kichwa cha habari chako!!! Click to expand... Yaani watu wengine bwana sijui huwa wanajielezaje ktk interview.
A ammablaze Member Joined Jan 27, 2012 Posts 34 Reaction score 1 Aug 23, 2012 #6 Likwanda said: Yaani watu wengine bwana sijui huwa wanajielezaje ktk interview. Click to expand... Hebu atuambie
Likwanda said: Yaani watu wengine bwana sijui huwa wanajielezaje ktk interview. Click to expand... Hebu atuambie
Ndechumia JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,164 Reaction score 573 Aug 23, 2012 #7 itakuwa bado, coz najua kwenye jukwaa hili kuna watu makini sana