OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Pamoja na kuwa Mh.Magufuli rais wa Tanzania anajitahidi lakini pengine kwa mtazamo wako kuna kazi nyingine angeifanya vizuri zaidi ya hii ya urais
Baadhi ya wadau na wachambuzi wamekuwa na wasiwasi wa namna rais anavyoshughulikia changamoto za nchi na hata vipaumbele vya nchi.
Kwa hurka zake,kwa ukali wake,kwa man to man yake,kwa "kuchomekea" kwake,kwa ubanaji wake matumizi,unadhani ni kazi gani angeifanya vizuri zaidi ya hii ya sasa?!
Kwa upande wangu naona angefaa zaidi kuwa "Rais"