Kazi gani ingemfaa zaidi Mh.Magufuli mbali na urais?!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Pamoja na kuwa Mh.Magufuli rais wa Tanzania anajitahidi lakini pengine kwa mtazamo wako kuna kazi nyingine angeifanya vizuri zaidi ya hii ya urais

Baadhi ya wadau na wachambuzi wamekuwa na wasiwasi wa namna rais anavyoshughulikia changamoto za nchi na hata vipaumbele vya nchi.

Kwa hurka zake,kwa ukali wake,kwa man to man yake,kwa "kuchomekea" kwake,kwa ubanaji wake matumizi,unadhani ni kazi gani angeifanya vizuri zaidi ya hii ya sasa?!

Kwa upande wangu naona angefaa zaidi kuwa "Rais"
 
Ni Urais na ndio maana ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuchaguliwa na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu October,2015.
 
Kazi ya kupiga pushups ingemfaa sana, angekuwa mkufunzi wa pushups
 
Tulisha sema Magufuli ndo aliyesubiriwa miaka mingii jamaaaa. Na anafaaa kuwanyoooshaaa hadi nyie wote mafisadi muhame inchiii.
 
Ocs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…