Kazi gani ya kufanya mtandaoni inilipe?

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Wapendwa
kwa muda wa jioni huwa nakuwa kwenye mtandao kwa muda mwingi. Je kuna kazi ya kuni ingizia kipato naweza kufanya? iwe ya hapa nyumbani au ya nchi za nje
ie. Nimetumia muda mwingi sana kumi seach Kwenye google ila naona zaidi ya nusu ni matapeli (scam) nyingine zilizo baki nyingi ni maalum kwa mataifa yao; US citizen etc
 

Jiunge TSU ni kama facebook ila wao wanalipa kutoka na matangazo ya ukurasa wako na wavizazi vyako ila juhudi uiweke kialika watu na wenyewe walika ilinatwork yako iwe kubwa kupata hela nyingi zaidi. NIBURE kabisa.
KUJIUNGA fungua link hapo chini, CODE ni kasaz

tsū
 
Watoto acheni uvivu. Hakuna hela za bure. Kalimeni huko
 
Kufanya online job sio hela za bure, ukifuatilia nchi zilizoendelea marketing, sales , data entries, na nyingine nyingi zinafanywa oline....
 
Usimwamshe aliyelala, Kilimo mvua hakuna na Umwagiliaji nikwakiwango gani unafanyika Tz na mtaji wa kuwekeza kwenye miundombinu ya umwagiliaji wanautoa wapi? Think before you speak.
 
Ni pm nikupe mchongo wa hizo mambo vizuri!
 
nitafute kwenye namba hii nikupe biashara ya mtandao ambayo hutojutia ukijiunga 0754381174
 
well speaking pesa sio kutafutia shamba tu kwani hata aliye toa wazo la shamba anaonekana yupo mjini angeenda shamba basi ili nasi tumuige tuende nae....n its not good crushing someone ambaye yupo kwenye crisis kubwa na mind yake mpaka anafikia kuomba ushauri..:eyebrows::eyebrows:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…