Kazi: Goli la Geita gold dhidi ya Yanga ni offside

mjogoro

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
882
Reaction score
652
Ktk kipindi cha kipyenga cha mwisho kinachorushwa na Azam sports 1 HD, refa mkongwe Othman Kazi amefafanua kuwa mfungaji wa goli la Geita vs Yanga alikuwa ameotea. Pia, penati ya Yanga haikuwa sahihi japo walinyimwa penati nyingine ktk tukio la Ngushi kusukumwa. Tukio pa penati iliyokataliwa lilitokea sekunde chache kabla ya penati ya uongo
 
Utopolo wananunua mechi daily ndio maana kimataifa wanagongwa hovyohovyo

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Ulichokiona hapo wewe ni cha Yanga tu. Hayo maelezo mengine ya goli la Geita kuwa offside na Yanga kutokupewa penalty wala hayajakuhusu au sio?

Au na maumivu ya Arsenal unayaingiza hapo?
 
Ulichokiona hapo wewe ni cha Yanga tu. Hayo maelezo mengine ya goli la Geita kuwa offside na Yanga kutokupewa penalty wala hayajakuhusu au sio?

Au na maumivu ya Arsenal unayaingiza hapo?
Tanzania kila kitu ni cha Mchongo, yaani hata Mashabiki ni wa Mchongo.
 
Nashangaa. Yameelezwa ya pande mbili, na pande moja yakisemwa mapungufu mawili, offside na kuminywa penalty, lakini yeye kaamua kukomalia moja la upande wa pili kupewa penalty maana ndo lililomuuma zaidi.
Alisoma kichwa cha habari akiwa na akili ya kishabiki. Hivyo akili yake ilitafsiri goli la Yanga ni la offside akaishia hapo hapo hata kusoma contents hakusoma. Laiti kama angesoma angeelewa na kurudi kurudia kusoma tena kichwa cha habari kwa ufasaha.
 
Ajabu sana
Ulichokiona hapo wewe ni cha Yanga tu. Hayo maelezo mengine ya goli la Geita kuwa offside na Yanga kutokupewa penalty wala hayajakuhusu au sio?

Au na maumivu ya Arsenal unayaingiza hapo?
 
Ulichokiona hapo wewe ni cha Yanga tu. Hayo maelezo mengine ya goli la Geita kuwa offside na Yanga kutokupewa penalty wala hayajakuhusu au sio?

Au na maumivu ya Arsenal unayaingiza hapo?
Kwahiyo na wewe hilo ndilo lililokuuma?nipige basi kama unaweza,
UTOPOLO MUNANUNUA MECHI DAILY...

umia....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo na wewe hilo ndilo lililokuuma?nipige basi kama unaweza,
UTOPOLO MUNANUNUA MECHI DAILY...

umia....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Niumie ya nini na points nimebeba na nusu fainali nimefika?

Unadhani kila mtu kazoea kuumia kama wewe na Arsenal yako? [emoji1][emoji1]

Pathetic.

Round hii hadi wewe hatukuachi, tunakununua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…