Kazi hizi hapa! Umechoka kutafuta kazi piga simu no#0658825141 ujiajiri mwenyewe kwa mtaji mdogo!

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,743
Reaction score
1,738
UNAWEZA UKAISHI TOWN KWA UJANJA HUTAKUA MACHINGA WA VITU VYA WACHINA ILA UTAKUA MJASIRIAMALI MWENYE TIJA UNAYEJUA a)kusave hela b) kujifunza kufanya kazi kwa bidii. kujuana na watu usidharau kuna mtu alinipigia simu aliku na elf 21 sasa hivi ana laki 4 haujapita hata mwezi nlimpa huduma yanguya ushauri wa kitaaalamu wa biashara akanilipa elfu mbili mia 5 lakini kila siku amekua akinishukuru piga namba 0658825141 kama huna hata hela ya vocha we ni beep tu
 

Ha ha ha haaaaaa, Mkuu kwanini hizo pesa ulizolipwa kwa kutoa ushauri usiziwekeze kwenye maeneo unayoshauria?
Au ndiyo yale yale ya Mtaalamu wa kilimo kuweka Ofisi Posta ambapo hakuna hata Bustani...
 
Sijakuelewa kabisaaaaaaa.
Ngoja niende kwenye siasa nikaone michapano chadema ground,
 
mwisho wako wa kufikiri ndo mwanzo wa matatizo yako!
 
Toa maelezo hapo,unafichaficha nini? Au unatafuta ubeasy wa simu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…