Fredrick Ojija
Member
- Nov 2, 2010
- 11
- 2
hivi mnamaanisha wenye degree tukasome tena?
hizi mambo ajira zisiwaumize vichwa, tuliza akili, jua nini unataka fanya, andaa Biz Plan.. songa front..taasisi nyingi pesa zipo tu kwa ajili ya wajasiriamali bt wajasiriamali hawajitokezi , zinatumbuliwa tu
hivi mnamaanisha wenye degree tukasome tena?