Kazi HR

katya

New Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
4
Reaction score
0
Habari members wa JF,

Mimi natafuta kazi HR, nimesoma na kuishi uingereza miaka mingi sana sina experience ya kazi Tz, nimefanya kazi uingereza na Dubai kama HR manager nina exp ya miaka kumi HR, nitashukuru sana kama mtu anajua mahali pana vacancy akanitaarifu. njacobs24@yahoo.com

Asanteni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…