Mimi natafuta kazi HR, nimesoma na kuishi uingereza miaka mingi sana sina experience ya kazi Tz, nimefanya kazi uingereza na Dubai kama HR manager nina exp ya miaka kumi HR, nitashukuru sana kama mtu anajua mahali pana vacancy akanitaarifu. njacobs24@yahoo.com
Nenda www.radarrecruitment.com Fungua profile pale weka na CV yako. Watakupigia kwa ajili ya Interview sio muda mrefu. Nimeona wana kazi nyingi sana zihusianazo na Field ya HR. Kila la heri
Nenda www.radarrecruitment.com Fungua profile pale weka na CV yako. Watakupigia kwa ajili ya Interview sio muda mrefu. Nimeona wana kazi nyingi sana zihusianazo na Field ya HR. Kila la heri