sio kwamba na yeye ni mhanga wa loans board?
Dodo wala usipate wasiwasi wajeda wamejaa humu ndani na wanaJF ni ndugu wakijua watakujuza fasta.Wakubwa,nikiwa ni mmoja wa wahanga wa loans board,pamoja na kadivision kangu kazuri niliko nako,nimeamua kujitafutia ajira huko kwenye hayo majeshi yetu,bora nikawe mlinzi wenu pamoja na mali zenu tu.tafadhalini sana kwa yeyote atakae sikia au kuona nafasi za kazi zinazohusiana na hapo juu asisite kunijuza at joel9060@yahoo.com.asanten sana
hata mimi nahitaji kwa ajili ya binti yangu anapenda maeneo hayo; naomba ushauri zaidi.
Yeye bado, ndo amemaliza shule
nataka ikiwezekana asogee huko then atafute chuo akiwa huko huko.
Kuwa na subira mkuu.
Asanteni kwa ushauri,
kweli namwacha asome some zaidi ndo aje huko,
kila la kheri wakuu wangu.
ukitaka kuingia jeshi la uhamiaji ,polisi , magereza ni lazima uanzie jkt ukisha maliza mafunzo ya awali unaweza kubahatika kuajiriwa kwenye jieshi unalotaka
kwani wenyewe wanapeleka idadi ya nafasi wanaotakiwa kuajiriwa huko jkt