habari ndugu zangu,natumai kuwa mu wazima na Mungu anawasaidia.nina mdogo wangu anatafuta kazi yoyote ya kufanya kwani ametafuta mpaka amekata tamaa. Yeye amemaliza form four na kupata division 4 ya 32.amereseat lakini hajafanikiwa.lakini amesomea secretarial course stage 1 and 2. anataka kurudia tena kureseat lakini mama yake hana tena hela ya kumsomesha.nilikuwa naomba kama kuna yeyote anaweza kumwajiri au kumtafutia awasiliane kwa namba 0762369068. naomba tusaidie kwani duniani ni kusaidiana. shukrani.