kazi ipo tcu mwaka huu!!!

Nakusifu sana mshenzi wewe, ningekufahamu ningekuchapa na Msimbazi moja kwa darasa jema unalowapa vijana yaaah kweli neno shenzi si tusi nimeamini leo Keep it up Quick Reply
 
Waache wafanye kazi kama wanavyoona wao......wala hutakiwi kuanza kujadili watafanyaje kwa sasa...Langu Jicho tu.......
 
VETERINARY MEDICINE YA SUA walio apply ni 1407,eligible ni 1181,1st choice ni 289,admission capacity ni 60,TUTAJIBEBA MWAKA HUU
 
ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa naenda UDSM 1sy choice yangu tulio eligible ni 43 na intaka watu 50 ha ha ha ha ha thank u God

Umechagua kozi gani udsm
 
VETERINARY MEDICINE YA SUA walio apply ni 1407,eligible ni 1181,1st choice ni 289,admission capacity ni 60,TUTAJIBEBA MWAKA HUU

daaaah balaaa kumbe ile ya 4000 ilikua story ila hapo competition kali wenye 3 tutapona kweli?!
 
hujui kitu kuhusu tcu better you lay down your pen
 
VETERINARY MEDICINE YA SUA walio apply ni 1407,eligible ni 1181,1st choice ni 289,admission capacity ni 60,TUTAJIBEBA MWAKA HUU

MUNGU wangu..!! Hivi mwaka huu nitapata chuo kweli maana mpaka sasa hali ni tete..!! Yaani watu waliopata dvn 1 waishe then Dvn 2 mmh mambo Magumu kweli..!!
 
MUNGU wangu..!! Hivi mwaka huu nitapata chuo kweli maana mpaka sasa hali ni tete..!! Yaani watu waliopata dvn 1 waishe then Dvn 2 mmh mambo Magumu kweli..!!

sasa kama wewe mwenye 2 unalia,je mwenye 3 afanyaje sasa?
 
daah kheri ningejaza ki2 cha DUCE..ila hakuna noma lets pray to God
 
Jamani hali ni tete kuna jamaaa ana II.10 kaomba Civil UDSM na ARDHI sasa hiyo competition yake ni nowma
UDSM ni 24xx aplicants While 18xx wako eligible na walio eligible na kuweka 1st choice ni kama 8xx while admission capacity ni 160,
sasa ARDHI ndo nisiongelee kabisaaaa sababu hali ni mbaya zaidi ya UDSM.
Walio omba UDOM wanauwezekano mkubwa wa kupata Nimeangalia kozi kama mining engineering kuna 465 applicants, 386 eligible, 163 1st choice na admission capacity ni 45
pia Petroleum engineering kuna 328 aplicants, 138 eligible, 6 1st choice na admission capacity ni 45. hapa mtaona jinsi gani UDOM ambavyo haipendwi but walio omba wana uwezekano mkubwa wa ku pata admission.
TUMUOMBE MUNGU JAMANI, hali ni TETE
 
kazi kwelikweli sijui tutaponaje? ila hii ni kutokana na priority status ya loan ndo maana tunashoshona kwenye program zenye priority,wale wenzangu na mimi wa arts tusio na uwezo wa kujilipia kozi za nyingine kimbilio ni education ambayo madhara yake yatakuja kuonekana huko mbele kwenye ajira!
 
ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa naenda UDSM 1sy choice yangu tulio eligible ni 43 na intaka watu 50 ha ha ha ha ha thank u God
WEWE kijana.. hujasalimika bado coz watu walio apply kama second choice nao watakuwa considered.. ni ivi kama mtu aliye apply 2nd choice hakuweza ku withstand competition.. atashushwa kwenye hiyo course yako ashindane na nyie mlioapply kama 1st choice... hivyo hivyo na kuendelea mpaka watu wote wapate course zao kwa vugezo sawa ambavyo ni SURVIVAL FOR THE FITTEST...
 
huyo mwenye div2.10 sijui kwakweli UDSM??? yuko kwenye hati hati course hadi sasa scul kwangu PCM walio apply civil ni 58 na kati ya hao 52 wana div 1... shule ziko kibao na PCM wengi wamepata div 1...hata ARDHI daaa ni balaa tupu... amuombe mungu amsaidie ndicho kilichobaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…