WEWE kijana.. hujasalimika bado coz watu walio apply kama second choice nao watakuwa considered.. ni ivi kama mtu aliye apply 2nd choice hakuweza ku withstand competition.. atashushwa kwenye hiyo course yako ashindane na nyie mlioapply kama 1st choice... hivyo hivyo na kuendelea mpaka watu wote wapate course zao kwa vugezo sawa ambavyo ni SURVIVAL FOR THE FITTEST...
Jamani hali ni tete kuna jamaaa ana II.10 kaomba Civil UDSM na ARDHI sasa hiyo competition yake ni nowma
UDSM ni 24xx aplicants While 18xx wako eligible na walio eligible na kuweka 1st choice ni kama 8xx while admission capacity ni 160,
sasa ARDHI ndo nisiongelee kabisaaaa sababu hali ni mbaya zaidi ya UDSM.
Walio omba UDOM wanauwezekano mkubwa wa kupata Nimeangalia kozi kama mining engineering kuna 465 applicants, 386 eligible, 163 1st choice na admission capacity ni 45
pia Petroleum engineering kuna 328 aplicants, 138 eligible, 6 1st choice na admission capacity ni 45. hapa mtaona jinsi gani UDOM ambavyo haipendwi but walio omba wana uwezekano mkubwa wa ku pata admission.
TUMUOMBE MUNGU JAMANI, hali ni TETE
huyo mwenye div2.10 sijui kwakweli UDSM??? yuko kwenye hati hati course hadi sasa scul kwangu PCM walio apply civil ni 58 na kati ya hao 52 wana div 1... shule ziko kibao na PCM wengi wamepata div 1...hata ARDHI daaa ni balaa tupu... amuombe mungu amsaidie ndicho kilichobaki
vijana kazi mnayo,naona ngoma nzito kabisa...
huyo mwenye div2.10 sijui kwakweli UDSM??? yuko kwenye hati hati course hadi sasa scul kwangu PCM walio apply civil ni 58 na kati ya hao 52 wana div 1... shule ziko kibao na PCM wengi wamepata div 1...hata ARDHI daaa ni balaa tupu... amuombe mungu amsaidie ndicho kilichobaki
Ebana eeeh!!! Naanza sala mara 7 kwa siku sasa