Kazi jaman,wanajf

Emeka Onono

Senior Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
114
Reaction score
15
Nina digrii ya nutrition kutoka SUA,na skilss on data collection and data analysis,project monitoring and evaluation,proposal and report writing,natafuta kaz wandugu,naona kila nikiomba nakosa,sina msaada wandugu,mliokuwa kwenye system naomba tusaidiane wanajf,kuna moja imetangazwa humu jf na savanna forever wanataka field researcher nimetuma maombi,yawezekana staff wa hii NGo mpo humu jamvin,naomba msaada wenu tafadhal na sehemu zingne pia,wenye nafasi mnijuze jaman kwa simu hii 0753-114524 au 0712-789680,asanteni
 
hongera sana kuwa na elimu nzuri. cha msingi endelea kufuatilia. hasa hizi wilaya mpya, mara zitakapoanza kufanya kazi. ni lazima utapata....hata community development kwa degree yako utapata tu kwani naamini katika masuala ya food security unafaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…