Mkuu jamaa amekutumia advert hapo juu nimeiona!ukiwa unatafuta kazi usiogope!you just try!hata pia kuitwa kwenye interview ukiikosa kazi unashukuru umepata experience ya interview!pia nakushauri upeleke CV yako kwa hawa recruitment agencciea like Radar recruitment,erolink nk wao huwa wanatafutiaga watu kazi,na huwa watu wengi wanapata job kupitia kwa hao agencies!
Kwa kazi ya kuanzia salary sio issue sana!unakamata kwanza then unaangalia ustaarabu mwingine ukiwa kazini!taabu ya vijana wa siku hz anatafuta kazi anataka salary ya kuanzia milion 2!
Kila la heri mkuu!