Kazi jamani Wizara ya Fedha na Uchumi

Kazi jamani Wizara ya Fedha na Uchumi

....................UBARIKIWE NA mOLA AKUONGEZEE MAARIFA NA HEKIMA
 
Ni zile ambazo ukipresent CV na vyeti, vikawa ok unapangiwa kituo nini?
 
hii wizara ina bajeti kubwa sana ya chai. Lazima nitupe ndoano zangu
 
thank you so much fo the updates bse watu wengi magazeti yanatupitia mbali.ingependeza sasa pi wale human resorces and administrative officers nao wakumbukwe kwenye nafasi za kazi.TAMISEMI HAINA MABORESHO HAYO.🙄😕
 
Hivi TGS. D ni mshahara(net salary) kiasi gani?
 
*** said:
Applicants who are serving in the Public Service
must route their applications through their Respective Employers...

Hii inakuwaje??? kama sitaki ajue naomba kazi sehemu nyengine je???.
Nipeni mbinu wandugu, nipo ktk halmashauri huku vijijini kabisa, maombi yangu nikimpelekea bosi wangu najua atakataa, nifanyeje na nataka nijaribu bahati yangu nihamie miji mengine???
 
Jaribu kutimiza mashsrti ya kazi yote yanayotekelezeka. Hilo la kupitisha kama ni gumu kulingana na mazingira yako ya kazi achana nalo jaribu kutuma hivyo bila kupitisha. Kwani wanaotangaza kazi hayo wanayajua
Mwajiri mwingine ukipitisha barua mnaanza ugomvi, kisa amejua kuwa unaomba kazi. Lakini pia uaweza kumwombamtu mwingine ambaye siyo "TOP BOSS" akakupitishia maana maboss wengine wanaelewa!!
 
Back
Top Bottom