Kazi jeshini umeona au kusikia?

Kazi jeshini umeona au kusikia?

BABA JUICE

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
426
Reaction score
54
Kama kuna mtu ana latest kuhusu kazi jeshini anipe habari.
 
Watu walisharipoti ni wiki mbili sasa maana ilianza kwa wale waliopitia jkt kisha watu wakakimbia kupima afya zao na sasa watu wameripoti kimya kimya kuendelea na mafunzo yao
 
Una qualification gani? ni PM ili nicheki kama naweza kukusaidia. Si unajua mtu huwa anabebwa kama anabebeka!
 
Wakuu Jeshini kuna maslahi na mimi nirushe ndoano?
 
Mwakani namalzia b.a with education vp i will considered
 
cna uhakika,nipe utaratibu kama unafaham
makao makuu huwa wanatangaza kwa magraduates wa fani mbalimbali na huwataka waaply makao makuu ya jeshi,then baadae watawaita kwa interview,watakao fuzu,wanapelekwa TMA{Monduli}kuanza mafunzo,so jaribu kutembelea web yao na magazet mbalimbali as huwa wanatangaza.
 
Mwakani namalzia b.a with education vp i will considered
yah,kupata unapata 2 as long as una vgezo vyote,ila huwa napenda kuwashaur zaidi wale wenye degree za engineering na medicine,hao ndo huwa wanapata shavu la ukwel kule.
 
Wakuu Jeshini kuna maslahi na mimi nirushe ndoano?
inategemea na kitengo chako,elimu yako na cheo chako,my broh aliingia na degree ya engineering mwaka 2006,sa hz ana nyota 3 na atleast maisha yake yana mwelekeo as kila mwisho wa mwez ana uwezo wa kufanya saving na mambo mengne,so u can imagne..
 
makao makuu huwa wanatangaza kwa magraduates wa fani mbalimbali na huwataka waaply makao makuu ya jeshi,then baadae watawaita kwa interview,watakao fuzu,wanapelekwa TMA{Monduli}kuanza mafunzo,so jaribu kutembelea web yao na magazet mbalimbali as huwa wanatangaza.
hakuna web ambayo ipo outdated kama jwtz
 
hakuna web ambayo ipo outdated kama jwtz

Jeshini (JWTZ) kwa sasa wanahitaji watu wenye shule!! Ukiwa na shule yako kazi unapata. nadhani nimeeleweka ninaposema "shule"
Napenda jeshi, na ninawapenda wanajeshi lkn sitaki kujiunga na jeshi - siyo kwamba siwezi kujiunga na jeshi! Sitaki! Because, one of my principle in my life is: I CAN'T LIVE WITHOUT NO!!!!!!!!!!! Kwa principle kama hiyo sifai kuwa mwanajeshi!
 
Jeshini (JWTZ) kwa sasa wanahitaji watu wenye shule!! Ukiwa na shule yako kazi unapata. nadhani nimeeleweka ninaposema "shule"Napenda jeshi, na ninawapenda wanajeshi lkn sitaki kujiunga na jeshi - siyo kwamba siwezi kujiunga na jeshi! Sitaki! Because, one of my principle in my life is: I CAN'T LIVE WITHOUT NO!!!!!!!!!!! Kwa principle kama hiyo sifai kuwa mwanajeshi!
bora umejitoa mapema 2,maana wanaweza kukuua,tena kama una kiburi ndo utakoma.
 
ebwana nimesoma comments nyingi nimeona kama vile unashauliwa vibaya labda nikupe wasifu wangu,mimi kwa ushauri mbovu niliingia jeshi mwaka 2004 baada ya kumaliza chuo mlimani telecommunication engineering,nikapelekwa cadet TMA monduli miezi sita na kisha nikafauli vizuri sana nilikuwa ktk top five ya wanafunzi bora wa huo mwaka nikapelekwa uingeleza SUNDHURST mwaka mmoja then baada ya kurudi nikapewa nyota 3 nakuwa captain mwaka2007,kutokana na mazingira ya jeshi la tz kuwa ya kulemaza akili kukaa maofisini na kupiga soga kungoja mshahara,kutotumia taaluma yangu niliyosomea ya telecom kabisaa,kunifanya niwe tegemezi kila kitu jeshini,kwenye maduka ya jeshi nk iliniladhimu kuomba kuacha jeshi kwa hiyari mwaka 2009 mwishoni japo ulikuwa uamuzi wa kushtua but ilinibidi nifanye hivyo na nikaamua kujiajiri kwa kufungua ka-kampuni ka telecom,nakaita ka-kampuni coz hakana mtaji mkubwa,nafanya kazi zote za telecom hasa za minara ya simu kama installation nk kwa haraka am making more than 150 mill Tsh/= kwa mwaka wkt jeshini nilikuwa napata maximum 24million per year! utagundua kazi zingine ni sifa tu kuwa we ni mwanajeshi lakini nyumbani njaa imekujaa,mfano mzuri angalia wanajeshi wastaafu maisha yao yalivyo! nikwasababu walizoea kila kitu kufanyiwa na jeshi,kwanzia nguo,malazi,vyakula,bili za umeme,maji nk USIWE NA BAHATI MBAYA UKAENDA JESHI NI BORA UJIAJIRI MWENYEWE KIJANA jeshi ni jina tu ila njaa ipo mifukoni mwao,kama umesomea ualimu thats fine nenda ktk hiyo post watakayokupa anzisha tution kuwa mwalimu wa part time shule nyingine mbona walimu wapo wanamake more than 5 mill per mwezi kijana!usiwe na ule mtizamo wa siku zote wa FAULU-NENDA CHUO KIKUU-MALIZA CHUO-AJIRIWA-THEN OA/OLEWA unaweza ukajiajiri pia inalipa mimi nipo tayari nikawe mchimba madini na kuuacha uinjinia wangu as long as kama kunafedha zaidi ya huku niliko "KAMA HAI-MAKE ELA THEN HAILETI SENSE" TAFUTA PESA SIO JINA LA AFANDE UPUUZIIIII UTAISHIA KUPIGIWA SALUTI HAKU MFUKONI WE NI KAMASKINI FLANI HV
 
ebwana nimesoma comments nyingi nimeona kama vile unashauliwa vibaya labda nikupe wasifu wangu,mimi kwa ushauri mbovu niliingia jeshi mwaka 2004 baada ya kumaliza chuo mlimani telecommunication engineering,nikapelekwa cadet TMA monduli miezi sita na kisha nikafauli vizuri sana nilikuwa ktk top five ya wanafunzi bora wa huo mwaka nikapelekwa uingeleza SUNDHURST mwaka mmoja then baada ya kurudi nikapewa nyota 3 nakuwa captain mwaka2007,kutokana na mazingira ya jeshi la tz kuwa ya kulemaza akili kukaa maofisini na kupiga soga kungoja mshahara,kutotumia taaluma yangu niliyosomea ya telecom kabisaa,kunifanya niwe tegemezi kila kitu jeshini,kwenye maduka ya jeshi nk iliniladhimu kuomba kuacha jeshi kwa hiyari mwaka 2009 mwishoni japo ulikuwa uamuzi wa kushtua but ilinibidi nifanye hivyo na nikaamua kujiajiri kwa kufungua ka-kampuni ka telecom,nakaita ka-kampuni coz hakana mtaji mkubwa,nafanya kazi zote za telecom hasa za minara ya simu kama installation nk kwa haraka am making more than 150 mill Tsh/= kwa mwaka wkt jeshini nilikuwa napata maximum 24million per year! utagundua kazi zingine ni sifa tu kuwa we ni mwanajeshi lakini nyumbani njaa imekujaa,mfano mzuri angalia wanajeshi wastaafu maisha yao yalivyo! nikwasababu walizoea kila kitu kufanyiwa na jeshi,kwanzia nguo,malazi,vyakula,bili za umeme,maji nk USIWE NA BAHATI MBAYA UKAENDA JESHI NI BORA UJIAJIRI MWENYEWE KIJANA jeshi ni jina tu ila njaa ipo mifukoni mwao,kama umesomea ualimu thats fine nenda ktk hiyo post watakayokupa anzisha tution kuwa mwalimu wa part time shule nyingine mbona walimu wapo wanamake more than 5 mill per mwezi kijana!usiwe na ule mtizamo wa siku zote wa FAULU-NENDA CHUO KIKUU-MALIZA CHUO-AJIRIWA-THEN OA/OLEWA unaweza ukajiajiri pia inalipa mimi nipo tayari nikawe mchimba madini na kuuacha uinjinia wangu as long as kama
kunafedha zaidi ya huku niliko "KAMA HAI-MAKE ELA THEN HAILETI SENSE" TAFUTA PESA SIO JINA LA AFANDE UPUUZIIIII UTAISHIA KUPIGIWA SALUTI HAKU MFUKONI WE NI KAMASKINI FLANI HV

kaka umeongea la maana but tatizo ni kuanza tu mkuu,nikipata mwanzo basi nitaendelea mwenyewe,naomba niPM tuongee chamber mkuu unawezaq kunisadiia
 
ebwana nimesoma comments nyingi nimeona kama vile unashauliwa vibaya labda nikupe wasifu wangu,mimi kwa ushauri mbovu niliingia jeshi mwaka 2004 baada ya kumaliza chuo mlimani telecommunication engineering,nikapelekwa cadet TMA monduli miezi sita na kisha nikafauli vizuri sana nilikuwa ktk top five ya wanafunzi bora wa huo mwaka nikapelekwa uingeleza SUNDHURST mwaka mmoja then baada ya kurudi nikapewa nyota 3 nakuwa captain mwaka2007,kutokana na mazingira ya jeshi la tz kuwa ya kulemaza akili kukaa maofisini na kupiga soga kungoja mshahara,kutotumia taaluma yangu niliyosomea ya telecom kabisaa,kunifanya niwe tegemezi kila kitu jeshini,kwenye maduka ya jeshi nk iliniladhimu kuomba kuacha jeshi kwa hiyari mwaka 2009 mwishoni japo ulikuwa uamuzi wa kushtua but ilinibidi nifanye hivyo na nikaamua kujiajiri kwa kufungua ka-kampuni ka telecom,nakaita ka-kampuni coz hakana mtaji mkubwa,nafanya kazi zote za telecom hasa za minara ya simu kama installation nk kwa haraka am making more than 150 mill Tsh/= kwa mwaka wkt jeshini nilikuwa napata maximum 24million per year! utagundua kazi zingine ni sifa tu kuwa we ni mwanajeshi lakini nyumbani njaa imekujaa,mfano mzuri angalia wanajeshi wastaafu maisha yao yalivyo! nikwasababu walizoea kila kitu kufanyiwa na jeshi,kwanzia nguo,malazi,vyakula,bili za umeme,maji nk USIWE NA BAHATI MBAYA UKAENDA JESHI NI BORA UJIAJIRI MWENYEWE KIJANA jeshi ni jina tu ila njaa ipo mifukoni mwao,kama umesomea ualimu thats fine nenda ktk hiyo post watakayokupa anzisha tution kuwa mwalimu wa part time shule nyingine mbona walimu wapo wanamake more than 5 mill per mwezi kijana!usiwe na ule mtizamo wa siku zote wa FAULU-NENDA CHUO KIKUU-MALIZA CHUO-AJIRIWA-THEN OA/OLEWA unaweza ukajiajiri pia inalipa mimi nipo tayari nikawe mchimba madini na kuuacha uinjinia wangu as long as kama kunafedha zaidi ya huku niliko "KAMA HAI-MAKE ELA THEN HAILETI SENSE" TAFUTA PESA SIO JINA LA AFANDE UPUUZIIIII UTAISHIA KUPIGIWA SALUTI HAKU MFUKONI WE NI KAMASKINI FLANI HV
By the way umetoa ushauri mzuri lkn huo ushauri unafaa kwa watu wenye professionalism kama yako ambayo inalipa lkn kaka kwa ualimu nchi bora nikimbilie zangu jeshini.
 
Back
Top Bottom