Jeshi linawafaa wenye elimu ya diploma na kushuka chini kwa fani ambazo ni vigumu kujiajiri, kwa graduate yeyote sikushauri kuwa afande ktk jeshi lolote lile, labda uwe na uhakika wa kupata upendeleo maalumu (Neoptism)