Kazi JWTZ

jeshi la proffesionals?? du! waoga kweli! Vikizuka au vikinukia tu hamponi!
 
bado hawajatoa za form six sayansi,hao niwale wa mwaka jana mmoja wa rafiki zangu yumo humo kapelekwa kenya,mi mwenye nazisubir za sayansi hizo
 
bado hawajatoa za form six sayansi,hao niwale wa mwaka jana mmoja wa rafiki zangu yumo humo kapelekwa kenya,mi mwenye nazisubir za sayansi hizo

na kwa nin wanatoa za sayansi pekee afu wanawapeleka nje,kwan hapa nyumban hamna training academy,au huko nje kuna nin special?
 
nafasi bado hawajatoa hata za form six sayansi bado wale walioingia mwaka jana ndio wamepelekwa nchi mbali mbali za afrika mashariki mi mmoja wa marafiki zangu yumo humo kapelekwa kenya ila mwaka huu bado,pia nimeongea na ,mshikaji mmoja hivi ni mwana jeshi kaniambia bado so wananzengo tuvute subira mi mwenyewe nasubiri hizo za sayansi
 
Asante Mkuu, Tuendelee Kujuzana.
 
na kwa nin wanatoa za sayansi pekee afu wanawapeleka nje,kwan hapa nyumban hamna training academy,au huko nje kuna nin special?
kwa hapo sina la kusema labda ungejaribu kuulizia zaid jeshini ni kwa nini wanafanya hivyo kaka labda wanamakusudi yao wanayoijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…