Kazi kwa aliyechukua taaluma hii

Kyamtwala

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
252
Reaction score
150
Habari zenu waungwani
Naomba kufahamishwa kazi anazofanya kwa mtu aliyechukua BACHELOR OF SCIENCE IN CONSTRUCTION MANAGEMENT.
Natanguliza shukraan
 
habari zenu waungwani..?naomba kufahamishwa kazi anazofanya kwa mtu aliyechukua BACHELOR OF SCIENCE IN CONSTRUCTION MANAGEMENT.

can be quantity surveyor, contractor, consultant, project manager..........all these are in CONSTRUCTION INDUSTRY
 
Hivi hii bachelor mbona kwenye kitabu cha guidebook cha TCU haionekani ila inaonekana ipo ktk chuo cha ardhi?
 
Kuwa mtu fulani haina maana kuwa unaelewa mmbo mengi isipokuwa unaweza kuelewa hayo mengi endapo utakubari kuelimishwa na wengine.ndicho nilicho fanya.
 
but thank u guys...!ila bado nahitaji kuelewa zaidi.....!
 
Hivi hii bachelor mbona kwenye kitabu cha guidebook cha TCU haionekani ila inaonekana ipo ktk chuo cha ardhi?

hii kozi kwa sasa imefutwa......so hata pale ardhi now hii kozi haina 1st wala 2nd year wapo 3rd na 4th year haijachukua wanafunzi kwa mda wa miaka miwili now..cjui kwa nini.........but kuna bachelor of science in building economics-pure quantity surveyor
 

umesomeka
 
Hii kozi zamnai ilikuwa na Masters' degree tu, hii ninavyojua mimi inamuandaa mtu kuwa construction project manager, kuna hawa consultant wanaitwa PROJECT MANAGER. Ni kazi huwa inafanywa hasa na ma architect na sometime civil engineers. Kuna mdau hapo juu amesema wanafanya kazi kama engineer au architect, ni kweli hasa wakiwa wanasimamia hizi project lakini si kweli hasa tukimaanisha kufanya Archiectural design,structural design au geometrical and pavement design
 

punguza mane no mengi yasiyo name tija wameshasema ni ma maproject manager sasa huo ujuaji mwingn huna maana
 
Habari zenu waungwani
Naomba kufahamishwa kazi anazofanya kwa mtu aliyechukua BACHELOR OF SCIENCE IN CONSTRUCTION MANAGEMENT.
Natanguliza shukraan

Mkuu, Muulize jamaa mmoja yupo pale survey ana offisi anaitwa 'Arch. Betamu Katunzi'. Umenisoma??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…