Kazi kwa graduate bila kujali kozi aliyosoma!

sajo

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
3,474
Reaction score
6,195
kwa anejua kazi ambayo imetangazwa wanataka watu waliograduate chuo regardless of which course atujulishe aisee...zile za qualification:bachelor degree...tupeni hizo vitu
 
Ndugu graduates unatakiwa ujikite kwenye field ndiyo kitu bora labda uingie jeshi au police maana ni nguvu tu inayotakiwa
 
Nna rafiki zangu wamesoma ecology lakini wako benki, kila siku wanajilaumu cha ajbau hawataki kutoka kwa hiyo banking job!
 
kazi ni kazi tu kama imetangazwa m2julishe wajameni.
 
Kwahiyo hutaki kukiendeleza ulichosomea?
 

kwa nini umeuchagua mbuyu?. zipo mbegu za miti zenye kustahamili kama ulivyofanya mbuyu. ila mbuyu Mungu ameuchagua uwe hivyo. na bila MUngu kukuchagua piga garagaza papatika hufiki wala hutoki.....
 
waliotoa ALLIANCE ONE kile kiwanda cha tumbaku cha morogoro dead line ni tarehe 1 December, NI PM 0714128855
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…