Kazi kwa wataalam wa JF

Kazi kwa wataalam wa JF

juniour12

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
407
Reaction score
375
Unaweza nitengezea Logo pamoja na hivi vitu hapa?:-
1.Proforma invoice template
2.Tax invoice template
3.Delivery note template
4.Headed Paper template.
5.Business Card template.

Kama ndio ni kwa Shiling ngap na itachukua muda gani hadi kuwa tayari?

Pia kwa wataalam wa Web designer nahitaji hiyo hudama ya kudesigniwa web but sio kwa sasa but nakaribisha wenye uwezo huo tudiscuss ili nione kama naweza kuafford kwa muda huu.

Akhsanteni na Karibuni.
 
Hiyo web unataka ya static au dynamic?
 
Samahani mkuu ungenielezea kwanza hizo static na dynamic zinakuwaje.

Sina ujanja katika hayo maswala that's why nataka kufahamu na kuelekezwa then ndio tufanye kazi.
 
Unaweza nitengezea Logo
pamoja na hivi vitu hapa?:-
1.Proforma invoice template
2.Tax invoice template
3.Delivery note template
4.Headed Paper template.
5.Business Card template.

Kama ndio ni kwa Shiling ngap na itachukua muda gani hadi kuwa tayari?

Pia kwa wataalam wa Web designer nahitaji hiyo hudama ya kudesigniwa web
but sio kwa sasa but nakaribisha wenye uwezo huo tudiscuss ili nione
kama naweza kuafford kwa muda huu.

Akhsanteni na Karibuni.

Kwa Templates zote hizo nitakufanyia kwa laki 4 na website yoyote iwe static au dynamic nitakutengenezea kwa laki 2.5. Ni PM tuanze kazi
 
Kwa Templates zote hizo nitakufanyia kwa laki 4 na website yoyote iwe static au dynamic nitakutengenezea kwa laki 2.5. Ni PM tuanze kazi

Asante mkuu nimesha pata mtu wakunifanyia hiyo kazi.
 
Back
Top Bottom