Unaweza nitengezea Logo
pamoja na hivi vitu hapa?:-
1.Proforma invoice template
2.Tax invoice template
3.Delivery note template
4.Headed Paper template.
5.Business Card template.
Kama ndio ni kwa Shiling ngap na itachukua muda gani hadi kuwa tayari?
Pia kwa wataalam wa Web designer nahitaji hiyo hudama ya kudesigniwa web
but sio kwa sasa but nakaribisha wenye uwezo huo tudiscuss ili nione
kama naweza kuafford kwa muda huu.
Akhsanteni na Karibuni.
Mtafute huyu jamaa humu, anaitwa LOGORIDDIM
Nimeshapata mdau wakunifanyia kazi mkuu.Thanks kwa ushirikiano wako.