Kazi kweli kweli..!

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
1,625
Reaction score
1,326
Mtoto karudi kutoka shule, kamkuta baba ake kakaa kwenye baraza ya nyumba yao, mtoto akamuuliza baba yake Mtoto: baba botswana iko wapi? Baba: kaangalie kabatini [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ukiona hivyo ujue mzee anaisoma namba kimya kimya[emoji23] [emoji23]
Amevurugwa kweli kweli dogo akiuliza lingine anaweza kuzinduka yuko ICU
 
Ukiona hivyo ujue mzee anaisoma namba kimya kimya[emoji23] [emoji23]
Amevurugwa kweli kweli dogo akiuliza lingine anaweza kuzinduka yuko ICU
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hatari tupu watu wamevurugwa na maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…