kazi kweli kweli..

PingPong

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2008
Posts
926
Reaction score
160
Mwaka huu lazima kieleweke maana wenye nchi wamewekeza kila kona hadi kwenye buti, yaani ni hatoki mtu.......hii ni daliili tosha kuwa wanahaha wakitafuta kila njia kujiweka pazuri...kazi ipo..
 
Attachments

  • hm4c999f263eaf4[1].jpg
    13.2 KB · Views: 181
Matendo yao yanaongea zaidi ya kutuonyesha hizo nembo zao. Hatudanganyiki.
 
hizo nembo zao wataziweka kila mahali ila lazima pafuke moshi....
 
Kifo uwa kina kuja na dalili nyingi sana na muhusika huanza kuzihisi na matokeo yake upandwa na hofu kubwa ambayo umpelekea kufikwa na umauti...R.I.P (CCM)marehemu mtarajiwa
 
Dawa ni ndogo tu, kama tumezichoka hizi nembo nifuatini mimi tukampigie kura Dr. Slaa siku hiyo
 
Mwaka huu lazima kieleweke maana wenye nchi wamewekeza kila kona hadi kwenye buti, yaani ni hatoki mtu.......hii ni daliili tosha kuwa wanahaha wakitafuta kila njia kujiweka pazuri...kazi ipo..

Ila buti limetulia! Kama na uongozi ungekuwa smart kiasi hiki Tz tungekuwa tuko juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…