Kazi Low Grade Zitakazokuhakikishia Mgegedo 24/7

Madereva taxi na wauza chips ndio balaa
 
ma house boy wanaongoza kuwachapa wake wa vibosile
 
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Nasikiaga na masecretary wanaliwaga sana na maboss wao
 
Umewasahau wasugua miguu na kupaka rangu
 
Ni kweli, ndiyo maana nikasema zile zinazohesabiwa za hadhi ya chini.

Halafu ukiangalia karani ni 9 to 5 job ambayo mara zote anakutana na work mates na watu wengine ambao atmosphere ni ya kiprofessional muda wote.
Umesomeka Kamanda
 
Walimu vijana wa secondary, ukiwa na mtoto wako mkali akamaliza hadi form six hajaguswa na mwalimu barobaro kakodi matarumbeta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…