Kazi na MAGODORO ya MABOSI

Thanx for your views and contributions
 
kuna uhusiano mkubwa kati ya mawazo yetu , maneno ya vinywa vyetu na pia matendo yetu. usishangae, unachotakiwa ni kuthibitisha kuwa mtu kama huyu anapo pigwa memo, ni kwa haki kabisa. amekosa lugha nyingine hata akasema "magodoro".
we Kindimbajuu ligodogoro ni lilovi tuhu la liyema kulasa kinu fulani. mbona hata tavagosi vakatikemela mabuzi, lofa n.k
 
Sijui kwa nini, mi huwa nakwazika sana nikiona au kusikia wanawake wanaitwa majina ya ajabu ajabu, au wakidhalilishwa kwa namna yoyote ile. Kwangu mimi kila mwanamke ni mama au dada au binti yangu. Heshima kwa wanawake!
 
katumia lugha ya mficho wajamini msikasirike lol.
 

Kisokolokwinyo mkubwa wewe, unatafuta nini kwa boss wako, kaa ukijua na wa kwako ni godoro la wenzio!! Kuku wa maziwa wewe, kawafundishe hiyo lugha vifaranga wenzio!!
 
katumia lugha ya mficho wajamini msikasirike lol.

Wewe hiyo lugha imekufurahisha sana hata uione inastahili kuwa tafsida eeh?? Haya shangilia na umuite mama/mkeo hivyo!! Unajua hadhi ya godoro wewe? Alinunua babu hata mjukuu analitumia si ndio. Nakusamehe ili ulale unono usiku wa leo!!
 
aaisee kweli wanawake majina tunatungiwa.... Tushakua godoro??

Mambo ya Mtikila hayo shangazi! Yeye alidai mawaziri wote wanawake waliopo kwenye cabinet ya kikwete ni magodor ya mabosi na ndiyo sababu ya kupewa huo uwaziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…