Kazi na mahusiano!

Wana jamvi, nimeona niwajulishe nilichoona. Kuna blog mpya imeanzishwa ya mahusiano, na kutafuta marafiki pamoja na wachumba. Kwa mtazamo wangu blog hii bado ni mpya kwa sababu haijaanza kuwa traffic ya kutisha. Ni blog ya kiswahili inaitwa wabongomeet. Ukipenda kuitembelea bonyeza hapa Rafiki/ Wachumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…