sumu-ya-panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 632
- 572
Naona kweli mwezi huu wamefululiza kuwakamata.Wewe endelea kuwa drug mule! Wenzako wameshanyongwa huko China.
Kabla hujaijua hiyo kazi vizuri, nakuhakikishia utakuwa umekwisha kamatwa...
Kuna nafasi bado huko unapofanya mkuu? Nimevutiwa na hapo ulipo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe sio wa mchezo mchezoKuna nafasi bado huko unapofanya mkuu? Nimevutiwa na hapo ulipo.
Kama hiyo Mungu aniepushie.Wewe endelea kuwa drug mule! Wenzako wameshanyongwa huko China.
Kabla hujaijua hiyo kazi vizuri, nakuhakikishia utakuwa umekwisha kamatwa...
Inategemea na ugumu mkuu.Kazi ngumu unaiweza?
Ntakutafutia kazi nyingine laini laini mrembo wangu. Wewe hukuumbwa kula kwa jasho...Kama hiyo Mungu aniepushie.
Nitashukuru mkuu. Hii niliyonayo imenifika hapaaaNtakutafutia kazi nyingine laini laini mrembo wangu. Wewe hukuumbwa kula kwa jasho...
Chukua tahadhari dogo[emoji121] huyu mtu sio mwema sanaNtakutafutia kazi nyingine laini laini mrembo wangu. Wewe hukuumbwa kula kwa jasho...
Nitashukuru mkuu. Hii niliyonayo imenifika hapaaa
Mku mbona unakatisha tamaa watu kujiajiri?Wewe endelea kuwa drug mule! Wenzako wameshanyongwa huko China.
Kabla hujaijua hiyo kazi vizuri, nakuhakikishia utakuwa umekwisha kamatwa...
Ajira (binafsi) zisizoeleweka eleweka ambazo watu wanatengeneza pesa mingi ya chap chap bila ya kuwa na mtaji wa kueleweka zinatia shaka...Mku mbona unakatisha tamaa watu kujiajiri?
Hehehee.. sawa kaka. Wajua ukisema nafanya. Sitakiwi hata kuhoji kwanini.Chukua tahadhari dogo[emoji121] huyu mtu sio mwema sana
Hahaha hakoseagi shabaha na yuko kimkakati huyoHehehee.. sawa kaka. Wajua ukisema nafanya. Sitakiwi hata kuhoji kwanini.
Kumbe fisi. Nilijua wakaazi wa makumbushoHahaha hakoseagi shabaha na yuko kimkakati huyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe fisi. Nilijua wakaazi wa makumbusho
Mi mwenyewe mfupa kaka [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wa makumbusho twafahamiana kwa vilemba, huyu ni fisi, kama una mfupa mtupie