Mbugi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,488
- 257
Kuna rafiki yangu aliitwa kwenye usaili na mara alipomaliza offisi iliona anafaa na hivyo kumwajili, siku ya kwanza tu ya kuriport kazi alipaswa kusema angependa alipwe sh ngapi kama mshahara wake. aliishia kusema anachojua yeye kapata kazi na kuwa haoni kipi kinazidi kazi na kuwataka mgt waamue wao watamlipa bei gani.
kweli "KAZI NZURI KULIKO MSHAHARA"
kweli "KAZI NZURI KULIKO MSHAHARA"