1) At least uwe na degree ya kwanza
2) Kama unaomba kwenye NGO, lazima uwe na experience ya kufanya kazi kwenye NGO kwa muda usiopungua miaka mitatu
3) Pia inategemea fani yako. Kuna waTZ kibao wanafanya kazi nje kwenye migodi (DR Congo, Mauritania etc) ingawa hawana degree - uzoefu kwenye kazi tu.