Tanzania Footbal Federation wametangaza nafasi 2 za kazi leo(General Secretary na Information Officer) katika Guardian ya leo tarehe 21...anayeweza kuscan asaidie, unaomba kupitia kampuni ya ajira ya EMARON UBUNGO PLAZA
All the best watakaojaribu watuondoe na aibu ya kutokupigwa wimbo wa taifa...