K karisti Member Joined Dec 18, 2009 Posts 23 Reaction score 2 Aug 25, 2011 #1 wADAU NIMESIKIA HIVI KARIBUNI UBALOZI WA SWEDEN HAPA BONGO WALITOA NAFAS YA KAZI, KUNA YEYOTE ALIZINYAKA ANIJUZE NATANGULIZA SHUKRANI
wADAU NIMESIKIA HIVI KARIBUNI UBALOZI WA SWEDEN HAPA BONGO WALITOA NAFAS YA KAZI, KUNA YEYOTE ALIZINYAKA ANIJUZE NATANGULIZA SHUKRANI
Adu gida Member Joined May 7, 2011 Posts 18 Reaction score 1 Aug 25, 2011 #2 Uzoefu ndiyo tatizo kama zimetoka wa2pe nafasi hizo tuzione
Biohazard JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 2,197 Reaction score 1,465 Aug 25, 2011 #3 Aiseee Jifunze kuandika title ndugu vitu kama hivyo unasema kama ni Tetesi ili tujue,sio unaandika utadhani unatupa taarifa ya kazi.
Aiseee Jifunze kuandika title ndugu vitu kama hivyo unasema kama ni Tetesi ili tujue,sio unaandika utadhani unatupa taarifa ya kazi.
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,649 Aug 25, 2011 #4 hbu nenda kwenye website yao ukajue huko then urudi na majibu hapa.