Kazi ubalozi wa sweden -tanzania

karisti

Member
Joined
Dec 18, 2009
Posts
23
Reaction score
2
wADAU NIMESIKIA HIVI KARIBUNI UBALOZI WA SWEDEN HAPA BONGO WALITOA NAFAS YA KAZI, KUNA YEYOTE ALIZINYAKA ANIJUZE
NATANGULIZA SHUKRANI
 
Uzoefu ndiyo tatizo kama zimetoka wa2pe nafasi hizo tuzione
 
Aiseee Jifunze kuandika title ndugu vitu kama hivyo unasema kama ni Tetesi ili tujue,sio unaandika utadhani unatupa taarifa ya kazi.
 
hbu nenda kwenye website yao ukajue huko then urudi na majibu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…