KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,794 Reaction score 9,075 Aug 17, 2011 #1 http://www.undp.org.af/jobs/index.htm
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Aug 17, 2011 #2 KakaKiiza said: http://www.undp.org.af/jobs/index.htm Click to expand... Thanks mkuu
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,794 Reaction score 9,075 Aug 17, 2011 Thread starter #3 Niya mwaka mmoja level p4 Public infor,
Xkalinga JF-Expert Member Joined Sep 10, 2010 Posts 476 Reaction score 317 Aug 17, 2011 #4 Jamani hakuna kazi kwingine zaidi ya afghanistan???sasa huko utakaaje
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,264 Reaction score 678 Aug 17, 2011 #5 afghanistan and kabul???????:coffee::A S check_03:
Mabagala JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 1,477 Reaction score 326 Aug 17, 2011 #7 Huko ndio kwenyewe sasa
Monstgala JF-Expert Member Joined Aug 25, 2009 Posts 1,079 Reaction score 1,036 Aug 17, 2011 #8 Mmmh! Kabul?? yataka moyo. Hizo post ukiapply lazima upate manake utakuwa the only candidate..
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Aug 17, 2011 #9 Kuna za Misrata na Abdjiya (sp) kwenye mapigano click IH ( International Handicap) wanatafuta mtu kwa ajili ya kuokoa na kusaidia watu salary ni Euro 2500 kwa mwezi
Kuna za Misrata na Abdjiya (sp) kwenye mapigano click IH ( International Handicap) wanatafuta mtu kwa ajili ya kuokoa na kusaidia watu salary ni Euro 2500 kwa mwezi